ZAO la embe ni fursa kubwa sana katika kujipatia uchumi endelevu lakini bado wakulima au jamii kwa ujumla haijatambua na kuona kuwa kilimo hiki ni fursa kama ilivyo kwa kilimo cha mazao mengine ya bia ...
Wakulima wa maparachichi katika kaunti ya Meru wanashusha pumzi baada ya kupata kifaa kipya cha kunasa nondo waliokuwa wakiharibu matunda yao. Mashamba ya maparachichi yaliyoko Meru yamenawiri na ...
Mahitaji ya parachichi barani Ulaya na Amerika Kaskazini yameongezeka mara tatu uzalishaji wa kimataifa katika kipindi cha zaidi ya miaka 20. Hata hivyo, tunda hili maarufu linazidi kuleta utata ...
Kilimo cha parachichi nchini Kenya ni hoja mpya ila wakulima wengi wanashawishika kuyasafisha mashamba yao na kuujaribu mmea huu. Hatua ya serikali kutafuta soko la zao hilo vile vile imewatoa ...
Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!